

Lugha Nyingine
湖北要闻--湖北频道--人民网
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 01, 2025
![]() |
Mfanyakazi akionesha picha zilizopigwa na kamera za sayansi ya mambo ya sayari na anga ya juu kwenye Mkutano wa kwanza wa Kilele wa Sayansi ya Raia katika Mambo ya Sayari na Anga ya Juu mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini-mashariki mwa China, Julai 31, 2025. (Xinhua/Pan Yulong) |
Mkutano wa kwanza wa Kilele wa Sayansi ya Raia katika Mambo ya Sayari na Anga ya Juu (astronomia) umefanyika mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini-mashariki mwa China jana Alhamisi, ukilenga kuhimiza uenezaji umaarufu na ushiriki wa umma katika mambo ya Sayari na Anga ya Juu.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Miujiza ya Wanyamapori: Kutoka Mbuga Tambarare za Afrika hadi Uwanda wa Juu wa Qinghai -Tibet, China
Mandhari ya Kipekee ya Karst katika Mkoa wa Guizhou yavutia watalii
Tamasha la kimataifa la densi lafunguliwa katika Mkoa wa Xinjiang, China likiwa na maonyesho 52
Wakulima wa China wawa na pilikapilika za uzalishaji wa kilimo katika kipindi cha Dashu
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma